KAIZER CHIEF YAMTOSA NABI, YATAMBULISHWA MWINGINE
Klabu ya soka ya Kaizer Chiefs imemtangaza Molefi Ntseki kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo kuanzia sasa.
Awali klabu hiyo ilihusishwa na kumhitaji kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi na kuondoka kwake Yanga kulihusishwa na vigogo hao wa Afrika Kusini.