JUMA MGUNDA KUREJEA COASTAL UNION
Taarifa kutoka Coastal Union ya Tanga ,uongozi wa Klabu hiyo unampango wa kumrudisha aliyekuwa Kocha wao Juma Mgunda ikiwa ni siku chache baada ya kuvunja benchi lote la ufundi la timu yao .
Simba SC walipanga kumkabidhi Kocha Juma Mgunda timu ya Wanawake Simba Queens kuelekea msimu ujao, lakini taarifa zilizotoka hii leo ni kuwa huwenda Juma Mgunda akarudi kwa Mabosi wake wa zamani .