ISSOUFOU SELLSAVON DAYO KUZIBA PENGO LA ONYANGO SIMBA
Klabu ya Simba inawinda saini ya beki wa kati wa Burkina Faso Issoufou Sellsavon Dayo.
Dayo mwenye umri wa miaka 31 anaitumikia Klabu ya RS Berkane, ujio wa Dayo unakwenda kuziba pengo la Joash Onyango aliyeomba kuachwa