GEORGE MPOLE APELEKWA KITAYOSCE KWA MKOPO
George Mpole, yuko kwenye mazungumzo ya kujiunga na klabu ya Kitayosce ya Tabora kwa mkopo akitokea FC Lupopo
Mpole hajawa na wakati mzuri tangu asajiliwe na klabu hiyo ya DR Congo
George Mpole ambaye ni mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania bara 2021/2022, yuko nchini Tanzania kwa ajili ya mapumziko.