DANIEL AMOAH AONGEZA MMOJA AZAM
Klabu ya Azam FC imetangaza kumwongezea Mkataba wa Mwaka mmoja beki wake wa Kimataifa wa Ghana, Daniel Amoah ambapo utamfanya kusalia Klabuni hapo mpaka June 30,2025
Beki huyo mwenye umri wa Miaka 25 Msimu huu amefanikiwa kucheza Mechi 25 za Ligi Kuu akiwa na Azam FC na kufunga magoli mawili na kadi nne za njano..