BERNARD MORRISON KUIBUKIA AZAM
INASEMEKANA kiungo mshambuliaji wa zamani wa miamba Simba na Yanga Bernard Morrison anatarajia kutambulishwa na wanalamba lamba, Azam FC.
Inadaiwa kwamba Bernard Morrison amejiunga na Azam fc kwa mkataba wa miaka miwili ,