AISHI MANULA YUPO KIJIJINI MKAMBA
Kipa wa Simba SC Aishi Manula akiwa Nyumbani kwao Mkamba Kirombero mkoani Morogoro katika kipindi hichi cha mapumziko lakini pia akiendelea kujiuguza jeraha lake baada ya kufanyiwa operation.
"Ni ardhi yenye kuponya na kutia nguvu, Niwapo hapa najiona mwenye Furaha na amani. Sijawahi kuwa mnyonge ninapokuwa nyumbani kwa baba alipotuacha na mama" Kipa wa Simba SC Aishi Manula.