SANDALAND WADHAMINI WAPYA WA JEZI SIMBA SC
Taarifa zilizotufikia zinasema kwamba huenda duka kubwa la kuuza mavazi ikiwemo vifaa vya michezo la Sandaland muda wowote linaweza kuchukua nafasi ya Vunjabei na kuwa wadhamini wa jezi wa klabu ya Simba SC.