SAIDO NTIBANZOKIZA ATEMWA BURUNDI

Kikosi cha timu ya taifa ya Burundi kimetangazwa kwa ajiri ya kujiandaa kuwakabili Namibia.

◾Ndikumana Justin
◾Mutombo Fabien
◾Onesime Rukundo
◾Bizimana Aladin

◾Ndayishimiye Youssouf Nyange
◾Christophe Nduwarugira
◾Derrick Mukombozi
◾Harerimana Rashid Léon
◾Nshimirimana David
◾Marco Weymans
◾Nshimirimana Ismail Pitchou
◾Muhindo Collins

◾Nshimirimana Jospin
◾Jordi Liongola
◾Musore Aaron
◾Bigirimana Abedi
◾Mvuyekure Emmanuel
◾Nahimana Shassir
◾Irakoze Donasiyano
◾Girumugisha Jean Claude

◾Niyongabire Pacifique
◾Bimenyimana Bonfils Caleb
◾Hussein Tchabalala
◾Saido Berahino
◾Kanakimana Bienvenue
◾ B. Richard
◾Crispaldinho

Saido Ntibanzokiza hajaitwa katika kikosi hicho kwa sabbau za utovu wa nidhani katika Timu ya Taifa, ikumbukwe kuwa yeye ndio captain katika kikosi hicho.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA