PILATO WA USM ALGER NA YANGA HADHARANI
Shirikisho la Soka barani Afrika CAF limemtangaza mwamuzi Dahane Beida kutoka nchini Mauritania kuchezesha mchezo wa fainali ya pili ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya USM Alger dhidi ya Yanga SC mchezo ambao utachezwa uwanja wa Julliet 5, Jijini Algers nchini Algeria,
Mwamuzi huyo atasaidiwa na Jarson Dos Santos kutoka Angola na Arsenio Marngol kutoka Nchini Msumbiji.