PAMBA YAIKATIA RUFAA KITAYOSCE FIFA

(FIFA) wamepokea barua ya Pamba FC kuhusu sakata la Upangaji wa matokeo.

Katibu mkuu wa klabu ya Pamba, Jonson James amethibitisha kuwa, shirikisho la soka Duniani (FIFA) limewajibu kuwa wamepokea malalamiko yao na watayafanyia kazi.

Klabu ya Pamba kupitia mawakili (4) waliandika barua kwenda katika kamati ya maadili ya (FIFA) kuitaka itoe adhabu kwa klabu ya Kitayosce ambao mwenyekiti wao alikutwa na hatia ya upangaji wa matokeo akafungiwa maisha na (TFF) kujihusisha na soka huku klabu ya Kitayosce ikiachwa bila kupewa adhabu.

"Sakata la upangaji wa matokeo Championship baina ya klabu za Kitayosce na Fountain gate limefika rasmi (FIFA) kupitia Pamba FC.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA