NCHIMBI KUTUA KITAYOSCE
Kitayose FC iko mbioni kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Azam FC, Yanga na Geita gold Ditram Nchimbi (30,
Tayari makubaliano ya mtu binafsi yamefikiwa na siku chache zijazo Ditram Nchimbi atasaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Kitayosce inaweza kuthibitisha.