NAIBU WAZIRI WA MICHEZO MWANAFA AKIISAPOTI YANGA
Naibu waziri wa Michezo, Sanaa na Utamaduni, Mhe Khamis Mwinjuma maarufu MwanaFA alipoudhuria uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam akiwa amevalia jezi ya Yanga kuisapoti timu hiyo wakati ilipocheza na USM Alger katika mchezo wa fainali mkondo wa kwanza.
Kwenye mchezo huo Yanga ikiwa nyumbani ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1, timu hizo zitarudiana Jumamosi ijayo ya tarehe 3., Juni ambapo Yanga inatakiwa kushinda mabao 2-0 ili kurejea na kombe