MASHUJAA YANUSA LIGI KUU
Klabu ya Mashujaa ya mkoani Kigoma imeipiga klabu ya Pamba ya Mwanza Kwa ushindi wa jumla Kwa mabao 5-4.
Mchezo wa Kwanza Mashujaa waliibuka na ushindi wa 4-0, Mchezo wa pili Pamba walishinda 4-1 bao moja la Mashujaa likatoa nafasi Kwa kuweka mguu mmoja mbele.
Mashujaa Sasa wanasubiri Mchezo mmoja Dhidi ya timu itakayo cheza PlayOff Kutoka Ligi kuu ya NBC Premier league ili Kujua hatima yao ya kupanda Ligi Kuu.