MASHUJAA KAMA LUTON TOWN CITY, NAYO KUPANDA LIGI KUU
Timu ya Luton Town FC Imepanda Ligi Kuu ya Uingereza Kwa Mara ya kwanza Katika Historia
Timu Hiyo Ilikuwa Inashika Nafasi ya 5 Katika Msimamo wa Ligi ya Championship na Kwenda Kucheza Playoff na Timu ya Coventry City Ambayo ilikuwa kwenye Msimamo lakini Wamefanikiwa Kuwashangaza wengi Kupata Ushindi Kwa Mikwaju ya Penalty na Kupanda Daraja
Hivyo Hivyo Historia ya Luton Town haipishani na Timu ya Mashujaa FC kutoka Kigoma ambayo inapambana Kuuheshimisha Mkoa huo Baada ya Kukosa Kushuhudia Ligi Kuu Kwa Miaka zaidi ya 20 sasa
Mashujaa Ilimaliza Katika Nafasi ya 4 Katika Ligi ya Championship na kupangiwa Kucheza Playoff na Timu ya Pamba Ambayo ilikuwa Inashika Nafasi ya 3, Mchezo wa Mkondo wa kwanza Mashujaa walishinda 4-0 Nyumbani kwao Leo ni Mechi ya Mwisho itapigwa Pale Jijini Mwanza