MASHABIKI YANGA WALALAMIKIA UTARATIBU WA KUINGIA UWANJANI


Mashabiki na wanachama wa Yanga SC wanaonekana kulalamika na kukerwa na mfumo wa kuingia uwanjani kutokuwa na ufanyaji kazi vizuri, wengi wa mashabiki wanasema kuwa kadi zao za malipo za mfumo wa N-Card zimekuwa zikikataa kusoma ilihali wamelipia tiketi siku nne zilizopita.

Pia wamedai kuwa wamekua wakiambiwa watoe fedha (10,000/= hadi 20,000/=) ili waruhusiwe kuingia uwanjani ,ilihali tayari wamelipia tiketi.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI