KOCHA USM ALGER AINGIA MCHECHETO KWA YANGA
“ Tunarudi Algeria lakini bado mechi haijaisha, ni asilimia 50 kwa 50. Bado tuna kazi ya kufanya Algeria kwa sababu katika mechi ya marudiano Yanga hawana cha kupoteza. Watacheza wanavyojua ili wapate matokeo. ”
Kocha wa USM Alger Benchikha Abdelhak baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Yanga