HAALAND AMFUNIKA KWA MABAO KANE
Erling Haaland amefunga magoli 36 kwenye Ligi Kuu ya England msimu huu, yaliyochangia Manchester City kutwaa ubingwa wa tatu mfululizo.
Kwa upande mwingine Harry Kane amefunga magoli 30, Tottenham Hotspur ikimaliza katika nafasi ya nane.
Baadhi ya wachambuzi wanaamini kuwa endapo Kane angekuwa na na timu bora kama Man City huenda angefunga magoli zaidi ya Halaand.