TANESCO YAOKOA JAHAZI UMEME KUKATIKA KWA MKAPA YANGA VS RIVERS LEO

Shirika la Umeme (TANESCO) limesema baada ya Majenereta ya Uwanja wa Taifa kushindwa kufanya kazi katikati ya mechi ya Yanga vs Rivers United ya Nigeria na taa kuzimika, umeme wa TANESCO ndio ulianza kutumika na mchezo ukaendelea.

“Tunasikitika kwa kadhia iliyojitokeza na tutashirikiana na wenzetu kwa siku za usoni jambo hili lisijirudie, Uwanja wa Taifa unahudumiwa na vyanzo viwili vya umeme ambavyo ni TANESCO na Majenereta ya uwanja, mechi ya leo uwanja ulikuwa unahudumiwa na majenereta ya uwanja”


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA