Rivers yawasili kuivaa Yanga
Klabu ya Rivers United ya Nigeria imewasili salama, Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa mkondo wa pili wa kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga SC
Katika mchezo wa kwanza Yanga SC aliibuka na ushindi wa goli 2 -0 dhidi ya Rivers pale Nigeria.