Nusu fainali ni Yanga vs Marumo Gallants ya Afrika Kusini
Yanga imefuzu kucheza hatua hiyo ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuiondoa Rivers United ya Nigeria baada ya matokeo ya 0-0 kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar
Yanga imesonga mbele kwa matokeo ya jumla ya magoli 2-0 ambayo iliyapata katika mchezo wa ugenini wakati #MarumoGallants imeingia hatua hiyo kwa kuitoa #Pyramids ya Misri kwa jumla ya magoli 2-1
Mechi za Nusu Fainali ni Mei 10, 2023 na marudio ni Mei 17, 2023