NABI AFURAHIA MORALI KWA WACHEZAJI WAKE IKO JUU
“Nafurahi kuona morali ya wachezaji iko juu sana kuelekea mchezo wetu wa kesho tofauti na huko nyuma naweza kusema morali hii ni kama ile tulipocheza na TP Mazembe hapa, kila mchezaji anaonyesha yuko tayari kupewa nafasi hili ni muhimu sana kwa timu yetu,”
-" Nimewambia wachezaji kazi yote tulioifanya katika mechi ya kwanza haitokuwa na maana kama atutashinda mchezo huu.
Pia nashabiki waache tabia ya kunipangia kikosi kwa sababu kila mechi ina Plan zake mfumo wake na aina haina ya wachezaji ambao unapaswa kuwatumia".