MAMELOD SASA USO KWA USO NA WYDAD
Klabu ya Mamelodi Sundowns imetinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 6-2 dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria.
FT': Sundowns πΏπ¦ 2-1 π©πΏ CR Belouizdad (Agg 6-2)
⚽ Zwane 45'
⚽ Morena 49'
⚽ Bouchar 24'
Mamelodi Sundowns itachuana na Wababe wa Simba SC, Bingwa mtetezi Wydad Casablanca kwenye nusu fainali.
BAADAE LEO: #CAFCL
22:00 Esperance πΉπ³ π π©πΏ JS Kabylie (Agg 1-0)
22:00 Raja CA π²π¦ vs πͺπ¬ Al Ahly (Agg 0-2)