Kiwango cha Djuma Shabani kimeshuka
“Ukiachana na Injury, performance ya Djuma imekuwa too flat msimu huu, hajawa yule wa msimu uliopita, msimu uliopita ulikuwa ukizungumzia right back ulikuwa unamtaja Djuma Shaban over hata Kapombe.
“Lakini kwa msimu huu unaweka question mark nyingi sana, kwenye mechi nyingi performance yake imekuwa flat sana nadhani anahitaji kuongeza juhudi.
“Kuna wakati alikuwa anazungumziwa uzito akapungua lakini bado hajarudi kwenye kiwango au ubora wake ambao watu wengi walikuwa wanauzungumzia,”