Uganda yaibutua Tanzania nyumbani

Na Shafih Matuwa

TIMU ya taifa ya Uganda, The Cranes usiku huu imelipa kisasi baada ya kuibutua timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa bao 1-0 lililopatikana dakika za mwishoni katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

Kwa kipigo hicho bado Stars inaendelea kukamata nafasi ya pili nyuma ya Algeria inayoongoza kundi lao lenye timu za Tanzania, Uganda, Niger na Algeria.

Katika mchezo huo leo, Stars haikuonyesha cheche zake kama ilivyocheza Misri ambapo ilicheza na Uganda na kushinda 1-0.

Licha kwamba Watanzania walijitokeza kwa wingi, lakini Uganda ilicheza kandanda safi na kupata ushindi, hata hivyo nahodha wa Stars, Mbwana Samatta alitolewa 



Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA