Mshery aanza tizi
Golikipa wa Klabu ya Yanga,Aboutwalib Mshery ameanza mazoezi mepesi baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yakimkabili ambayo yalimlazimu kufanyiwa upasuaji wa goti.
Mshery alitabiriwa kukaa nje ya Uwanja kwa zaidi ya Miezi sita na hali inavyoonekana anaweza kupona na kuwa fit kabla ya muda uliotarajiwa na madaktari.