Kagera Sugar kuigomea Yanga
"Kikubwa sisi tunajiandaa ili tuweze kupata alama tatu, tarehe 11 tunacheza na Yanga, tunajua tunacheza na timu ya aina gani, timu ambayo inaongoza ligi, timu ambayo inatetea ubingwa kwahiyo tunajua tunaenda kukutana na ugumu kiasi gani"
Kocha Mexime-Kocha Mkuu wa Kagera Sugar
Mchezo wa kwanza msimu huu uliochezwa katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza, Kagera sugar alipoteza alama tatu kwa kufungwa na Yanga 1-0.