Cristiano Ronaldo na mkoko wake wa Bil 20
Cristiano Ronaldo hapo jana alionekana kwenye jiji la Madrid nchini Uhispania akiendesha gari lake aina ya Bugatti Centodieci.
Unaambiwa kuna magari 10 tu ya aina hiyo ulimwenguni. ni wazi yake ilikuwa namba 7.
Bei ya gari ni Euro milioni nane ambazo ni zaidi ya Shilingi bilioni 20 za Kitanzania