Ali Kiba aahidi makubwa Coastal Union

Na Mkola Man. Tanga

Mchezaji mpya wa Coastal Union ya Tanga Ali Saleh Kiba maarufu King Kiba ameahidi kuifanyia mambo makubwa klabu yake ya Coastal Union kwakuwa ndiy pekee iliyoweza kumpa heshima kubwa na kumsajili.

Akizungumza na Mtandao hu, Kiba amesema Coastal Union imempa heshima kubwa kwa kumsajili kwa Mara ya kwanza kuchezaLigi Kuu kwani soka alilokuwa akicheza ni lmchangani tu.

Kiba amesema kwa kiwango alichonacho atawashangaza Watanzania na kukubali mileanachokifanya, Kiba ni mwanamuziki wa miondoko ya bongofleva na amekuwa akifanya vizuri mno tungo sake

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA