UWANJA WA MAO TSE SUNG PEMBA ULIVYO SASA
Uwanja wa Mao Tse Sung ulioko Pemba kama unavyoonekana pichani jinsi ulivyo inaonekana umekamilika kwa kiwango chote, uwanja huo unafaa kwa kuchezewa nyakati zote kuanzia asubuhi, mchana, jioni au usiku.
Uwanja wa Mao ni hazina nyingine kwa Tanzania katika kampeni yake ya kuandaa fainali za mataifa barani Afrika, uwanja huo ni tunu pekee visiwani Zanzibar ambapo sasa kuna viwanja viwili bomba kikiwemo cha Amaan Stadium