KMC yawaongezea mikataba nyota wake walioipandisha Ligi Kuu
Na Ikram Khamees. Dar es Salaam
Klabu ya KMC ya Jijini Dar es salaam imewaongezea mikataba wachezaji wake Watatu ya Kuendelea Kuitumikia klabu hiyo.
Beki wa pembeni Ally Ramadhani mshambuliaji Rehan Kibingu pamoja na Kiungo Mshambuliaji Cliff Buyoya .
Wote hawa Wamekula kandarasi ya mwaka mmoja ya Kuendelea kuitumikia klabu hiyo.