JUMA LUIZIO AREJEA MTIBWA SUGAR
Na Saida Salum. Dar es Salaam
Mabingwa wa kombe la shirikisho (Azam Sports Federation Cup) Mtibwa Sugar leo wamefanikiwa kuinasa saini ya Juma Luizio kutoka Simba Sc.
Luizio aliyekuzwa na timu ya vijana ya Mtibwa Sugar na baadae kutimikia Zesco ya Zambia na baadae Simba Sc.
Leo amerejea rasmi katika timu iliyomkuza Mtibwa Sugar Sc