Baba yake Mbappe asema alimpeleka mwanaye Cameroon lakini wakamkataa
"Mara ya kwanza nilipotaka mwanangu acheze timu ya taifa ya Cameroon, shirikisho la soka nchini humo lilitaka nilipe kiasi flani ( Rushwa) Ambacho nilikuwa sina. "
" Baadae nilienda katika Uongozi wa shirikisho la soka Ufaransa na hawakunitoza kiasi chochote."
Maneno ya baba mzazi wa mshambuliaji Kylian Mbappe , mzee Wilfreid Mbappe Alipoulizwa kuhusiana na mwanawe kwanini hakuichezea timu ya taifa ya Cameroon na kwenda kuichezea Ufaransa .