Urusi yawa ya kwanza kutinga 18 bora, ikiilowesha Misri 3-1

Wenyeji Urusi leo usiku wamekuwa wa kwanza kutinga 18 baada ya kuichapa Misri mabao 3-1 mchezo wa kundi A kombe la dunia uwanja wa San Petersburg Arena.

Misri wamejiweka pabaya baada ya matokeo hayo kwani tayari wamepoteza mechi mbili na wamesaliwa na mchezo mmoja, Ahmed Fakhy wa Misri alijifunga dakika ya 47 kabla ya Denis Cheeyshev kufunga bao la pili.

Smolov Dyzuba akafunga la tatu dakika ya 62 wakati Mohamed Salah akaifungia Misri goli la kufutia machozi kwa mkwaju wa penalti dakika ya 73, Urusi sasa imefikisha pointi 6 na inaongoza katika kundi lake ikifuatiwa na Uruguay yenye pointi tatu wakati Saudi Arabia inamakata mkia ikiwa haina pointi wala bao

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA