SINGIDA UNITED KUONYESHANA UMWAMBA NA APR

Na Salum Fikiri Jr. Dar es Salaam

Michuano ya klabu bingwa Afrika mashariki na kati maarufu kombe la Kagame inatarajia kuanza leo kwa michezo mitatu, lakini mechi ya kwanza inaendelea kuchezwa muda huu katika uwanja wa Azam Complex Chamazi kundi A JKU ya Zanzibar na Viper ya Uganda.

Kipute kingine kitakuwa jioni saa 10:00 kati ya Azam Fc ambao ni mabingwa watetezi wataumana na Kator  ya Sudan katika uwanja huo huo wa Azam.

Usiku ndio itapigwa mechi kali kati ya APR ya Rwanda na Singida United uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam mchezo ambao unaanza saa 1: usiku, Singida United imeingia katika mashindamo hayo ikichukua nafasi ya Yanga iliyojitoa na APR nayo imeingia ikichukua nafasi ya Saint George ya Ehiopia iliyojitoa

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA