Senegar kuibeba Afrika leo? Uingereza na Ubelgiji ni kusuka au kunyoa

Timu ya taifa ya Senegar leo itabeba mioyo ya mashabiki wa soka barani Afrika katika shindano la kombe la dunia huko nchini Urusi pale itakaposhuka uwanjani kuumana na Colombia mchezo wa kundi H uwanja wa Samara Arena, Urusi.

Senegar ndio wawakilishi pekee wa Afrika waliosalia katika michuano hiyo wakiongoza katika kundi hilo, lakini bado nafasi ya kutinga 16 bora kwao inaweza kuwa ngumu iwapo itapoteza mchezo huo na Japan itaishinda Poland katika uwanja wa Volgograd Stadium.

Mechi nyingine za kundi G leo ni kati ya Uingereza na Ubelgiji wakati Panama itaumana na Tunisia ambazo zote zimeshatolewa

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA