16 BORA KOMBE LA DUNIA PANACHIMBIKA LEO, UFARANSA NA ARGENTINA, UINGEREZA NA URENO NA HISPANIA

Dunia itasimama kwa muda leo pale hatua ya 16 bora ya kombe la dunia itakapoanza kutimua vumbi nchini Urusi kuelekea robo fainali, mabingwa wa dunia mwaka 1998 Ufaransa wanashuka dimbani kuumana na wana fainali wa mwaka 2014 Argentina yenye staa mwenye jina duniani Lionel Messi.

Ugumu wa mchezo huo unatokana na Argentina kuingia katika hatua hiyo kibahatibahati kwani ilishindwa kutamba, lakini pia taifa lenye maneno mengi kuhusu mechi nyingine Hispania  itaumana na Ureno ambao hivi karibuni walishangaza kwa kuilaza Senegar na kuitupa nje katika mashindano hayo.

Michuano hiyo itaendelea tena kesho Jumapili kwa mechi mbili pia wenyeji Urusi wakiumana na Hispania lakini Ureno yenye staa mwenye jina kubwa duniani Cristiano Ronaldo itakwaruzana na Uruguay ambao wako vizuri sana

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA