Simba yaendeleza ubabe kwa Gendarmarie
Na Mwandishi Wetu. Djibout
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kimataifa, Simba Sc jioni ya leo imeendeleza ubabe baada ya kuichapa bao 1-0 mchezo wa marudiano wa kombe la Shirikisho barani Afrika.
Simba imepata ushindi huo ugenini leo na kufanikiwq kuingia Raundi ya kwanza kwa jumla ya ushindi wa mabao 5-0, kwa ushindi huo sasa Simba itaumana na El Masry ya Misri ambayo nayo ilikuwa ikiongoza kwa mabao 4-0 dhidi ya Green Buffoeroes ya Zambia.
Goli lililoipa ushindi Simba leo lilifungwa na mshambuliaji wake wa kimataifa, Mganda Emmanuel Okwi