Matokeo yoote kombe la Azam Sports Federation Cup
Mzunguko wa 4 wa michuano ya Azam Sports Federation Cup unaelekea kukamilika kesho Februali 25, 2018 na timu nane zitasalia kucheza robo fainali.
Angalia matokeo yote na ratiba iliyobaki ya mechi mbili zitakazopigwa, Mwandishi wetu, Salum Fikiri Jr anatupasha.
Njombe Mji 1 Mbao Fc1 (Penalti 6-5), Singida United 2 Polisi Tanzania 0, Azam Fc 3 KMC 1, Yanga 2 Majimaji 1, Mtibwa Sugar 3 Buseresere 0, JKT Tanzania 1 Ndanda Fc 0, leo ni Stand United va Dodoma Fc, CCM Kambarage na Kiluvya United vs Tanzania Prisons, Filbert Bayi Stadium, Kibaha