Simba na Majimaji waingiza milioni 40

Na Saida Salum. Dar es Salaam

Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika jana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kati ya Simba Sc na Majimaji Songea uliingiza shilingi milioni 40.

Hayo ni mapato makubwa kuliko yale yaliyopatikana juzi Jumamosi katika mchezo mwingine wa Ligi Kuu Bara kati ya Azam Fc na Yanga Sc ambao waliingiza shilingi milioni 28.

Katika mchezo huo wa jana, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 yaliyofungwa na John Raphael Bocco (Mawili) na Emmanuel Okwi pia mawili

Simba na Majimaji zimeingiza milioni 40

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA