Mwanasoka Ghana aanzisha shirika lake la ndege
Mwanasoka wa zamani wa timu ya Sunderland ya Emgland na timu ya taifa ya Ghana, Asamoah Gyan amepatiwa kibali na serikali ya Ghana kuanzisha shirika lake la ndege.
Gyan amenunua ndege aina ya Jet ambazo zitafanya safari na serikali imeamua kumruhusu mwanasoka huyo kuanzisha shirika ambalo litasimamia usafiri huo, chakushangaza, Gyan ameamua kuliita shirika hilo jina lake la utani la Baby Jet Airline.
Hiyo ni hatua kubwa kufikiwa na mwanasoka huyo wa Kiafrika ambaye ameweza kuwafikia ama kuwavuka nyota wengine wa Kiafrika waliotikisa duniani