Ligi Kuu Bara mechi sita kupigwa leo
Na Prince Hoza. Dar es Salaam
Leo Jumamosi ya Oktoba 21, 2017 Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inaendelea kwa mechi sita kupigwa viwanja tofauti.
Mbao FC vs Azam FC, (CCM Kirumba, Mwanza)
Lipuli FC vs Majimaji Songea, (Samora Stadium, Iringa)
Mbeya City FC vs Ruvu Shooting, (Sokoine Memoriel Stadium, Mbeya)
Ndanda FC vs Singida United, (Nangwanda Sijaona, Mtwara)
Simba SC vs Njombe Mji FC, (Uhuru Stadium, Dar es Salaam)
Mtibwa Sugar vs Tanzania Prisons, (Manungu Complex, Morogoro)
Jumapili Oktoba 22, 2017
Stand United vs Yanga SC, (CCM Kambarage, Shinyanga)