NDUDA KUTIBIWA INDIA
Na Ikram Khamees. Dar es Salaam
Mlinda mlango namba mbili wa mabingwa wa Ngao ya Jamii, Simba SC, Said Mohamed Nduda amatazamiwa kupelekwa nchini India kufanyiwa upasuaji wa goti.
Kipa huyo aliumia akiwa mazoezini huko Zanzibar wakati klabu yake ya Simba ikijiandaa na mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga SC mchezo ambao ulipigwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa jana na uongozi wa Simba umesema wanampeleka India kipa huyo bora wa michuano ya Cosafa iliyofanyika nchinj Afrika Kusini