Malinzi kwishinei, atupwa rumande hadi Julai 3

Na Prince Hoza. Dar es Salaam

Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) Jamal Malinzi na katibu mkuu wa Shirikisho hilo Celestine Mwesigwa wamekutwa na hatia ya utakatishaji fedha na wote wamewekwa rumande hadi tarehe 13 ya mwezi Julai watakapopelekwa tena mahakamani.

Kwa maana hiyo Jamal Malinzi ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya Urais wa Shirikisho hilo atakuwa amejiengua rasmi kwenye nafasi hiyo kulingana na vigezo na masharti ya kugombea.

Malinzi, Mwesigwa na Nsiana wamesomewa mashtaka 28...

Kughushi waraka wa kamati ya utendaji ulioonyesha kuwa EXCOM imeridhia kubadilishwa kwa Signatories wa Bank hii inamhusu Malinzi na Mwesigwa pia,

Kufoji risiti za kuwa Malinzi anaidai TFF (risiti zipo zaidi 20 zinazodaiwa kufojiwa) hii inamhusu Malinzi pekee

Na Mwisho ni shtaka la kutakatisha fedha dola za kimarekani 375418 hii inamhusu Malinzi, Mwesigwa na Nsian

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA