Yanga ilivyozoa mamilioni ya ubingwa VPL
Na Saida Salum. Dar es Salaam
Klabu bingwa Tanzania Bara, Yanga SC jana usiku katika ukumbi wa Mlimani City walitunukiwa tuzo yao ya ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17.
Yanga walipewa kitita chao cha shilingi Milioni 84 wakiwa kama mabingwa wa msimu huu, huo ni ubingwa wake wa 27 na wa tatu mfululizo kwao