Dogo Mfaume afariki dunia
Na Mrisho Hassan. Dar es Salaam
Habari mbaya kwa mashabiki wa muziki wa miondoko ya Mchiriku hasa kufuatia kifo cha staa aliyetamba na wimbo matata "Kazi yangu ya dukani", Dogo Mfaume.
Taarifa za kuenea kwa kifo chake zilienea mapema leo ila Mambo Uwanjani haijapata undani zaidi na itaendelea kuwajuza mara tu itakapopata habari kamili. Mungu amlaze mahara pema peponi, Amina