Hayatou atupwa nje CAF

Hatimaye aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika, Issa Hayatou raia Cameroon ameangushwa na mpinzani wake Ahmed Ahmed wa Madagascar katika uchaguzi mkuu wa Shirikisho hilo.

Hayatou amdhudumu CAF kwa miongo kadhaa iliyopita amejikuta akiondoshwa kwenye madaraka hayo baada ya kupigiwa kura 20 huku mshindani wake mkuu Ahmad Ahmad akipata kura 34 zilizomwezesha kushinda kiti hicho.

Ahmad Ahmad mara baada ya kutangazwa kama mshindi wa uchaguzi huo ameahidi kuendeleza soka barani Afrika kama alivyokuwa akifanya mtangulizi wake, haya ni mabadiliko makubwa kabisa kufanywa katika medani ya uongozi na yameshitua

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA