Manchester United watwaa EFL

Mashetani Wekundu Manchester United wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya EFL baada ya kuilaza Southmpton mabao 3-2 katika mchezo wa fainali katika Uwanja wa Wembley, London.

Mabao yaliyoipa ushindi Manchester United iliyochini ya mkufunzi Jose Mourinho yaliwekwa kimiani na Zlatan Ibramovic "Cadabla" (Mawili) dakika ya 19 na 87 na lingine lilifungwa na Jesse Lingard dakika ya 38.

Wakati ya Southmpton yalifungwa na Manolo Gabbiadini yote mawili katika dakika za 43 na 48 hilo likiwa taji la kwanza la Mourinho tangu ajiunge Man United msimu huu

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA