Conte akasirishwa na maneno ya Mourinho
Meneja wa Chelsea Antoine Conte ameonyesha kukasirishwa na maneno ya meneja wa Manchester United Jose Mourinho na kusema yeye hapendi mzaha mzaha.
Mourinho amesikika akisema kuwa Chelsea inacheza kwa kujilinda zaidi na ndio maana ilitoshana nguvu na Burnley ya kufungana 1-1 ikiongoza Ligi ya Primia kwa tofauti ya pointi 10.
Conte amedai Mourinho amekuwa akipenda mzaha na hasa baada ya timu yake ya Man U kushinda 2-0 dhidi ya Watford, Mourinho amewahi kuiongoza Chelsea