ZANZIBAR KUPEWA UWANACHAMA WA KUDUMU CAF
Na Saida Fikiri Jr, Dar es Salaam
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) linadikiria kuipa uwanachama kamili Zanzibar badala ya huu ilionao sasa wa muda.
CAF katika kikao chake kimepitisha ombi la Zanzibar kuomba uwanachama kwenye Shirikisho hilo, endapo Zanzibar itapewa uwanachama itaweza kushiriki michuano yote inayoandaliwa na CAF.
Kwa sasa Zanzibar inaahiriki michuano ya vilabu peke yake lakini kwenye suala la taifa huungana na Bara kuunda Taifa Stars na zile nyinginezo